• Home
  • About

Wasouth washerehekea staa wao Pearl Thusi kuanza kuonekana kwenye tamthilia ya Quantico


Jumatatu ya wiki hii ilibatizwa jina ‘Pearl Thus Day’ nchini Afrika Kusini kusherehekea kuanza kuonekana kwa staa wa nchi hiyo, Thusi kwenye tamthilia maarufu ya Quantico.
cttmdy5xgaadlfi
Pearl Thusi, wa pili kutoka kulia
Thusi anaigiza kama mwanasheria wa Zimbabwe Dayana Mampasi.
cttlmj9w8aafusv
“I play Dayana Mampasi, a Zimbabwean girl who is a top graduate from Harvard Law School and has just been recruited by the CIA. My roommate is Alex Parrish, played by the incredible and talented Priyanka Chopra,” Pearl alieleza kwenye Twitter.
“When you’re hustling in New York . Alone. And your country shows you love. ,” ameandika.
Kutokana na kuonekana kwa episode ya kwanza ya tamthilia hiyo, hashtag #PearlThusiDay inaendelea kutrend kwenye mtandao wa Twitter.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...