• Home
  • About

Drake aitolea Movie albam yake ya 'Views'



Baada yaku toa albam yake ya 'views'  Drake aingia kwenye headlines tena baadayaku itoa hii movie yenye dakika 23. Movie hiyo ame itoa iki husu albamu yake hiyo. Ime mchukua wiki moja kuifanya movie hiyo mjini Soweto nchini africa ya Kusini.
Tizama kipande cha movie hiyo

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...