• Home
  • About

Huu ndio ujio mpya wa Kamshange (Elikunda) na ChrissWear baada ya Saiko..

 Msanii chipukizi anae kuja kwa kasi aki fahamika kwa jina Kamshange Elikunda ana tarajia ku achia ngoma yake mpya ikiwa na Jina Angelina. Ngoma hiyo ame ifanya pamoja na Msanii mwenzake Chrisswear.



Ngoma hiyo ime fanywa chini ya studio za Uprise Music chini yake producer Fragger . Aki zungumza na Habari bongo Kamshange ame sema kua ana tegemea kui achia ngoma hiyo Kati kati ya mwezi huu (March)... ikiwa ni ngoma yake ya pili baada ya Yakwanza ilio fahamika kwa jina la Saiko .

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...