• Home
  • About

Hawa ndio wa shindi wapya wa UEFA Champion 2015

    Hwa ndio mabingwa wapya wa UEFA champion . Barcelona ndio wenyewe walio li chukua kombe hilo Baada ya kuwa funga Juventus 3 - 1 . Ma goli ya Barca yame fungwa na Suarez ,Lionel Mess na Neymar huku goli la Juve ntus liki fungwa na Morata. Barcelona ndio ilio anza kufunga kwenye dakika ya 6.
wa chezaji wa barcelona waki shangilia kombe lao baada ya kuli pokea...
Barcelona waki shangilia kwaku muinua kocha wao juu.. baada ya ushindi..



Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...