• Home
  • About

PHOTOS: cheki baadhi ya picha Ally kiba aki shoot video nchini Africa kusini..

 Alikiba hivi karibuni anaweza akawapa tabasamu mashabiki wake kwa kuwapa walicho kihitaji na kuki subiri kwa hamu kubwa..
11379088_516569745163009_315077195_n
Alikiba akiwaon set.
Mwana muziki  huyo (Ally Kiba)  anashoot video nchini Afrika Kusini na muongozaji Meji Alabi.
Kupitia ukurasa wa Facebook, Alikiba amepost na utengenezaji wa video hiyo na kuandika:  
Music video shoot in South Africa at 3 degrees celsius… We keep rolling!
11350568_976872012336270_2707229765011132660_n
Muongozaji Meji Alabi akiwa kazini
Hivi karibuni mashabiki wa Alikiba walilalamika kuchelewa kwenye video ya Chekecha na kudai kuwa anawaangusha.

Alikiba akiwa na Meji Alabi
11390285_976875359002602_5456705516142548614_n

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...