Vipo baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe
wanajua katika mambo mengi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa
mara, jambo ambalo si wanawake wengi huwa na guts za kumwambia mtu,
hapo ndipo unakuta mara nyingi mwanamke anaanza kuchepuka na kwenda kwa
mtu mwingine wa kawaida tu kupata mahitaji yake anayo ya hitaji . Mambo hayo baadhi ni haya..
Hupendelea Sex idumu zaidi ya dakika mbili:
Wanawake hupenda hata ikibidi ifanyike siku nzima, ila cha zaidi si
muda ambao una-matter, imetokea wanaume wengi kujali kujizuia, ilimradi
wa-last muda mrefu katika tendo, but kutokana na tafiti hili sio ishu
kabisa, wanawake wengi hupenda zaidi ya muda mrefu, hupenda ku-establish
connection wakati huo, ambao unafanyika through Kissing etc vitu
ambavyo wanaume wengi huwa hawafanyi na kukazania tu kukaa muda mrefu
kujua kuwa ndio wanawake wanachotaka.
Confidence si sawa na nguvu
Kuna wanaume wengi huwa hawajui tofauti ya confidence na Aggresion,
hivyo wasikiapo kuwa inabidi uwe na confidence wanadhani kuwa kuna
kutumia nguvu, wanawake wengi wamekuwa wakikerwa na kuogopeshwa na mambo
ambayo hufanyiwa na wanaume zao, kipindi ambacho wanaume wakufikiri
kufanya hivyo ni kuwa na confidence. wanawake hutamani sana wanaume
wangejirekebisha na kujua maana halisi ya kuwa na confidence.
Sio wanawake wote hupenda vitu sawa
Hapa inatokea wanaume wengi kukariri kuwa, sababu tu ex-wake alikuwa
anapenda kufanyiwa vitu fulani, basi na huyu wa sasa atakuwa hivyo
hivyo, hii inatokea kuwachanganya sana wanawake, na kukereka kwa baadhi
ya mambo, huku mwanamke akiwa hana jinsi bali kuvumilia tu, na mwisho wa
siku ndio unakuta, ananza kutafuta way-out ya kukukwepa.
Fuata Muongozo wake!
Iko wazi sana kuwa mara nyingi kujua kuwa mwanamke anahitaji nini, ni
kitendawili kwa wanaume walio wengi, hivyo ni vizuri kuwa makini na
kugndua ni kitu gani hapendi, hii hutokea cause mara nyingi si wanawake
wote wanaweza kukwambia ni nini hasa kinawauzi, kuogopa kukuudhi, hivyo
inawafanya wapate shida sana na kuweka maisha yao yawe magumu, ila
hupenda sana kuwa makini na matendo yao ili kujua tofauti ya vitu
ambavyo hawapendi na vile vinavyowapa furaha.
Ni zaidi ya mapenzi na sio ufundi
Ni kweli wanawake wengi hukubali kuwa kuna wanume wenye experience
katika haya mambo, ila hiyo sio ishu zaidi, kinachotakiwa ni mapenzi,
kuonyesha mapenzi na dalili zote za kumjali ndio jambo muhimu sana.
Baadhi ya wanawake wamewahi kufunguka na kukiri kuwa tztizo la wanaume
zao si kitandani, ila ni mapenzi kwa ujumla yanapungua.
Post a Comment
LEAVE YOUR COMENT HERE...