• Home
  • About

Music: Kaa tayari kuskiliza Hit ya SAIKO.


 

Soon tegemea ku sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Msanii anae chipukua kwa kasi aki fahamika kwa jina la Elikunda akiwa kashirikiana na Chriswear. Ngoma hiyo iime fanywa chini ya Uprise studio producer akiwa Dupy.. Tega sikio kui sikiliza Hit hiyo ikiwa na Jina Saiko iki toka tare 12 January..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...