• Home
  • About

T-Pain Jukwaa moja na Diamond Platnumz mwaka huu..

 
  Mkali wa auto tunes T-Pain ana tarijiwa kutumbuiza  ndani ya jiji la Mwanza ama Rock city mwaka huu Tarehe 21 | 2 | 20015 katika tamasha la uzinduzi wa Radio Mpya ya Jembe FM ya Jiji huko..
 T-Pain ambaye kwa jina halisi ni Faheem Rashad Najm hato kua peke yake ata pewa suport na mwenyeji wake ambae ni Diamond Platnumz. Tamasha hilo ambalo lime pewa jina la Step-up lita fanyika ndani ya uwanja wa ccm kirumba.

T-pain2
"MWANZA!!! get ready for the #STEP UP 2015..... Kwa mara ya kwanza kabisa!!!!, Hapa MONDI hapa NAPPY BOY! @T pain you better save the date!.. 21 |2| 2015" Diamond ali andika kupitia Istagram .
 T pain ni mwanzilishi wa label ya Nappy Boy Entertainment iliyo anzishwa 2005. November 21 2014 ali achia single mpya "Coming home" Kutoka kwenye album yake mpya na ya tano "Stoicville" ambayo bado haija toka.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...