• Home
  • About

Kazi mbili kutoka kwa Vanessa Mdee na Kala Jeremiah za kufunga mwaka..

Tukiwa tuna elekea end of the year yaan mwisho wa mwaka wasanii kadhaa washa anza kufyatua kazi zao mpya. Baadhi yao ni kama Vanessa Mdee na Kalla Jeremiah. Hizi ndizo baadhi ya Cover za kazi hizo.
Vanessa - coming soon
vanessa2
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSltVht01CRBotYWYvMOXPpFOE7p-63A8424Nn26aBnb0DJn1XM2sOaUAWCl8YSALRiKl2DoweIsdddnjqZQCqz2qTtkuOaJxVchvqustuOs-lk0mM3xRcWCBE6BLu1Wa9_hOtofHbP5c/s1600/10787862_300465913480011_1910022335_n.jpg
 Cover ya Vannesa mdee ime oneka akiwa Barnabas elias na nyimbo ikiwa na jina la Siri ndani yake kukiwa na ujumbe " Kwanza ninge kuomb kipenzi ukubali tuta fanya siri y a watu wawili". Nyimbo hiyo ina tarajiwa kutoka juma nne ya tarehe 18 Nov. 

Kala coming soon
Kalla Jerimiah . nae ana kuja na hikii "Usi kate tamaa" akiwa kashirikiana na msanii wa  R&B Nuru eli amabe kwa muda ali potea kwenye anga la muzii wa R&B nakua katika nyimbo za Gospel . Kala Jeremiah haja dhihirisha kua ni ipi taree kamili ata toa   ngoma yake hiyo..
 

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...