• Home
  • About

Jaydee kuzindua video yake 'Forever' November 28..


wpid-img-20141117-wa0002.jpg
   Hivi karibuni Msanii mkongwe kwenye game la bongo flavour Lady Jde ana tarajia kuachia Video ya nyimbo yake mpya "Forever" akiwa kashirikana na mdogo wake Dabo. Video hiyo ina tarajiwa ku zinduliwa November 28 ndani ya M.O.G. Bar & Restaurant zamani ikijulikana  kama Nyumbani lounge Kinondoni jijini Dar es salaam.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...