• Home
  • About

hiki ndicho kipya kutoka kwa Diamond Platnumz

 Siku chache nyuma Diamond Platnumz ame onyesha Teaser ya nyimbo ambayo ina dhaniwa kua ndio kinacho fuata yaan nyimbo inayo fuata. Wiki hi ame post picha kupitia ukurasa wake wa facebook akiwa ana dance mrembo waki zungu. Picha hiyo ina onekana ndio video yake ifuatayo .
10378252_833977959957353_2677925388952221456_n  picha hiyo ili ambatanishwa na ujumbe mfupi wenye maneno.
  "Bahari ishachafuka ndugu zangu, ntafutieni mfuko nitapike....".
 Nahiki ndicho kipande video  aki imba.
 


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...