• Home
  • About

JB kuja na filamu inayo husu mpira..


 Mkali wa bongo movie Jacob steven ame sema soon ana tarajia kufanya filamu inayo husu mpira. Jb alisema hayo katika kipindi cha Kili chart show kinacho rushwa na East Africa Tv baada ya shabiki mmoja kumuuliza kama ana mpango waku fanya kazi kama hiyo. Akajibu kua,
 "Kwasabau wengi wame guswa nita fanya tena filamu nyingine inayo husu mpira, nita zungumzi moja kwa moja, mpira wa ki Tanzania , wazo lako lita fanyiwa kazi na Jerusalem film". Alisema Jb.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...