• Home
  • About

Filamu ya chausiku ya mpa deal Shamsa Ford

 Msanii wa filamu Tanzania ama zikijulikana kama za Kibongo Shamsa Ford anae tamba na filamu yake ya CHAUSIKU ambayo ina fanya poa sana sokoni ame sema kua filamu hiyo imempa deal. Aki zungumza msanii huyo ame sema kua kupitia fialamu hiyo amabayo stori ni ya kwake mwenyewe ime endelea kumpa deal na makampuni makubwa ikiwamo kampuni moja tokea nchini Kenya amabayo ina kazi ina hitaji kufanya nae.

 "Kupitia filamu ya chausiku nimeweza kupata deal kutoka kwenye kampuni ikiwamo kampuni moja  tokea nchini Kenya ikitaka kufanya kazina mimi kwa sasa siwezi kuzungumza zaiidi maaana kuna mambo ambayo bado hayaja kamilika." Alisema.
 Ndani ya filamu hiyo wamo wasanii kama Rammy Galis, Catty Rupia, Mayasa mrisho na wengine wengi..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...