• Home
  • About

Mzee manento ai aga dunia.


Msanii mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo Mzee Manento ame iaga dunia hiyo jana katika hospitali ya Tmj. aki ongea msanii mwenzake Mohamedi Olotu "Mzee chilo" ame sema kua ame zi pata taarifa hizo na yupo njiani kujua wapi msiba huo utakapo fanyika ila kwa sasa hajui.
  Mzee maneto ame cheza filamu kadha zikiwemo Dar to Lagos aliyo icheza na marehemu Steven Kanumba, The herow of the church, Fake pastors na zingine nyingi. Mungu ai laze roho ya marehemu mahala pema peponi amin

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...