• Home
  • About

RJ chini ya Vincet kigosi ime ingiza filamu yake ya VIP sokoni..

 Filamu mpya kutoka kwa Vincent kigosi inayo enda kwajina la V.I.P the president's daughter  ime ingia mtaanii wiki hii.

Washiriki walio shiriki kwenye filamu hiyo ni pamoja na Jacqulin wolper, Vincent kigosi Gabo zigamba na Hamisa mabeto.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...