• Home
  • About

Hizi ndizo ngoma zinazo tarajiwa kutoka ndani ya mwezi huu....

 Hizi ndizo ngoma kalii.. zinazo kuja kutoka kwa wasanii wa kali bongo, akiwamo Madee ambae ana tarajia kuachia ngoma yake hivi karibuni inayo enda kwa jina la NISHIDA ikiwa ime pikwa na Mako chalii.

10522859_1629910727234448_581258533_n
 Pia Mwana dada aliye fanya poa zaidi na ngoma yake ya Sugua gaga, Shaa nae ana tarajia kuja na ngoma yake mpya ikienda kwajina la SUBIRA, Ngoma hiyo ina tarajiwa kua hewani siku ya Ijumaa tarehe. 4 | July
 
10507780_1433239633621970_1706756474_n

Nae rapper mkali tokea mkani Mbeya IZZO BIZNES nae ame weka cover liki ashiria kitu kipyaa... kipo kina kuja kikienda kwa jina la WALALA HOI, Uku aki sema kua ngoma hiyo ni tofauti kabisa na ngoma zake alizo wahi toa hapa nyuma..
IMG-20140702-WA0002
  Mbali na hao woote Damian soul nae ata achia kitu kipyaa aki shirikiana na Banana mtoto wa Zahir Zoro..


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...