• Home
  • About

DOWNLOAD | Baraka_Da_Prince - Sio fine


Baada ya ku hit saana na ngoma yake ya 'Ji chunge' Msanii mkali wa soul Baraka Da Prince ame achia ngoma yake mpyaa..‘Sio Fine’,  Amesema kus wimbo huu ni zawadi kwa mashabiki wake walioupokea vizuri wimbo wake uliopita wa Jichunge..Wimbo huu ume tayarishwa na wa tayarishaji Kidbwoy na Nusda ndani ya Tetemesha Records.
 Download naku usikiliza kupitia hapa...

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...