• Home
  • About

Hivi ndivyo timu ya Algeria ilivyo pokelewa baada ya kutoka kwenye kombe la dinia


algeria 2
Algeria
algeria 5
algeria 4
algeria 3

Timu ya Algeria pamoja na kutolewa kwenye michuano ya kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria kutoka Afrika wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kwenye mashindano haya baada ya kuwa moja ya timu mbili za Africa zilizogusa kwenye hatua nzuri kabla ya kutolewa.
Tayari timu hii imerejea nyumbani Afrika ambapo kiukweli imepokelewa kwa shangwe sana, na naamini hata wengine wasio Waalgeria wangeipokea timu kama hii kutokana na ilichofanya.

algeria 3
Algeria

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...