• Home
  • About

What!! wa tangaziji wa xxl ya clouds wa rushiana makonde ndani ya kipindi...

 Kwa wapenzi wa sikilizaji wa kipindi cha XXL cha clouds fm kinacho ruka hewani kuanzia saa 7 mchana hadi saa kumi jioni chini ya ma presenter Adam mchomvu,B12 na Fetty, Siku ya leo july 2 itabiki kwenye kumbukumbu zao baada ya kusikika ugomvi ndani ya kipindi hicho kati ya presenter hao Adam mchovu Dj fety pamoja na B12 kitendo hicho hakija wahi tokea tokea miaka mingi rudi nyuma..

 Wata ngazaji hao walikua wana bishana kitu mpaka kika pelekea ugomvi ndani ya Studio hiyo, Watangazaji hao wali shikana na mwisho wake waka rushiana makonde . Kisikilize kipande hiki cha Audio kikisika na mna ulivyo kua ugomvi huo huku mike ziki sikaka kukurupushwa..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...