• Home
  • About

Full list ya washindi wa tuzo za watu,King majuto Nisher wa ng'aa ..

Winners Full List: Lulu, Diamond, Millardy Ayo, King Majuto Wang'ara Tuzo Za Watu 2014

  Usiku wa Jana tarehe 27 ilikuwa siku ya utoaji wa TUZO ZA WATU zinazo endeshwa na mtandao wa Bongo5.com. Mashabiki na watazamaji ndiyo waliopiga kura kumchagua mshindi wa kila kipengele. Hii hapa chini nmi list nzima ya washindi......



1.Mtandazaji wa kiume anayependwa.
- Millardy Ayo

Millard Ayo na mashaniki
2. Kipindi cha radio kinachopendwa
- Amplifier by Millard Ayo

3.Mtangazaji wa TV anayependwa
- Salim Kikeke- BBC Swahili
Salim Kikeke akiwa na Rama Nnaute wa Bongo5

4.Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa
- Elizabeth Michael LuluLulu akiwa na tuzo yake

5.Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa
- King Majuto

Mzee Majuto akifurahia ushindi

6.Muongozaji wa video anayependwa
-Nisher


7.Kipindi cha TV kinachopendwa
-Mkasi - by Salama Jabir

Joshi Murunga na Salama Jabir


8.Video ya mwanamuziki wa kiume inayopendwa.
- My Number One - by Diamond Platnumz



9.Video ya mwanamuziki wa kike inayopendwa

- Yahaya - by Lady Jaydee

10. Filamu inayopendwa
- Ndoa Yangu - By Steven Kanumba and Jackline Wolper


11. Mwanamichezo anayependwa
- Juma Kaseja

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...