• Home
  • About

Hivi ndivyo Suarez alivyo pokelewa kwao baada ya kupewa adhabu


Mchezaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez alipewa adhabu ya kutojihusisha na soka kwa muda wa miezi minne kutoka sasa baada ya kuthibitika kumng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini kwenye mechi za kombe la dunia.
Pamoja na kwamba Suarez mwenyewe amesema hakufanya hivyo makusudi na kuwa hiyo ni kawaida kwenye matukio yanayotokea uwanjani, alipewa adhabu hiyo kali ambayo pia imepingwa na mashabiki mbalimbali waliompokea ambao wanaamini kaonewa.
suarez 2
suarez 3


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...