• Home
  • About

Wastara avishwa pete..


STAA wa sinema za Kibongo,Wastara Juma ‘Wastara’amepost picha mbalimbali kupitia account ya instagram zikimuonyesha kuwa anavishwa pete nchini Uingereza na mwanaume ambaye hajajulikana jina lake na haijajulikana kama ni filamu au ni kweli.Kupitia mtandao huo msanii mwenzake Riyama aliandika hivi ...Amakweli mungu akitaka kupa haiandiki barua......... kila lakheri mama. Na kuwaacha mashabiki wao wakiwa hawana majibu ya uhakika.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...