• Home
  • About

DIAMOND PLATNUMZ TENA,Atajwa kuwania tuzo za BET Awards 2014 Marekani

 Baada yaku ng'a zaidi kwaku nyakua tuzo 7 za kilimusic 2014 Awards nakua nominated kwenye tuzo za MTV 'MAMA' nchini south Africa, Sasa Diamond platnumz ame tajwa kuwania tuzo kubwa zaidi za kimataifa za BET awards za nchini Marekani.
 Kupitia hit single yake ya 'My number1 rmx' aliyo shirikiana na Davido ndiyo iliyo mpa tiketi yakuwa nomited katika kipengele cha 'Best International Act:Africa', Ambapo ana chuana na wasanii kutokea nchi mbali mbali za Africa kama Davido (Nigeria), Mafiki zolo (Afrika kusini), Serkodie (Ghana) na Tiwa savange (Nigeria).
 Platnumz ndiye msanii pekee wa Afrika mashariki katika tuzo hizo.


  Hivi ndivyo ilivyo andikwa kwenye mtandao wa www.bet.com
bet
BEST INTERNATIONAL ACT:AFRICA ''NUMBER ONE'' (TANZANIA)
 Tanzanian star Diamond Platnumz become a global force with succes of his hit '' Number one" and that wav may continue with a win for best International Act:Africa
  
Sherehee za ugawaji wa tuzo hizo zita fanyika tarehee 29 June huko Lis Angeles Marekani,
 Tuzo hizo hu andaliwa na kituo cha Black Entertainment Television, Nazili anzishwa Mwaka 2001 lengo likiwa ni kusherehekea kazi za wa Marekani weusi ikiwamo muziki,Filamu  na maeneo mengine ya burudani.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...