• Home
  • About

SAD NEWS | Director na muongozaji wa vipindi George Ownino Tyson ai aga dunia.


 Hili nipigo jingine tena kwenye tasnia nzima ya movie na vipindi vya television,Director mkongwe wa filamu zaki Tanzania George Owino Tyson ame iaga dunia jioni ya jana kutoka na ajali ya gari aki tokea Dodoma katika kijiji cha Chilomwa chamwino pamoja na timu nzima ya the mboni show. Wengine walio kuwamo wali jeruhiwa na wali kimbizwa katika hospitali ya mkoani  Morogoro kwa ajili ya matibabu. Ajali hiyo ili tokea masaa manne tuu baada yakuianza safari yao yakurudi Dar es salaam eneo la Gairo ndipo gurudumu la mbele la gari hilo walilo kua waki safiria lilipo pasuka.
page

 Mzazi mwenza wa Muongozaji huyo Yvonne Chery "Mona liasa" aliweza kupost maneno haya kwenye ukurasa wake.
 " George you were my 1st Director,then my friend,You become my lover,,then hubby the the father of my 1st born Sonia  Akinya,Then you turned out to my enemy, then back tobe my beste,.Leo umeniweza.Sonia your angel as you always call her haamini hadi sasa.Nalia kwa nguvu, Nalia moyoni ,Nina maumivu ya ajabu . RIP George Otieno Okumu "




Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...