• Home
  • About

Google ya anzisha magari yatakayo jiendesha yenyewe yasiyo na usukani...

  Kampuni ya tecknolojia ya google ime tangaza jana kuanza mapngo wake waku anza tengeneza magari yatakayo ji endesha yenyewe bila ya dereva.Magari hayo yana tarajia kuingia barabarani ndani ya mwaka mmoja.
 Muasisi wa kampuni hiyo Sargey Brin ali zindua gari hilo la pekee katika mkutano na wana habari huko  California naku ongeza kua lengo lao la kutengeneza magari hayo ni kuwa punguzia watu kazi ya kuendesha gari.
google car2
 Sargey Brin ame ongeza kua magari hayo hayato kua na usukani ,accelerator wala pedel ya brake badala yake yata kua na kitufe cha 'STOP-GO' pamoja na screen itakayo onesha linapo pita. Software pamoja na sensor za Google ndio zita maliza kazi iliyo baki.

 Magari hayo yatakua na mwendo wa 25 mph

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...