• Home
  • About

Hivi ndivyo walivyo apishwa wa bunge wapya bungeni ..

 Wabunge wapya walio ingia bungeni kwa mara yakwanza wame apishwa leo ikiwa ni pamoja na ufunguzi wa bunge la bajeti ambalo lime anzaleo.Wabunge hao ni pamoja na Ridhiwani Kikwete akiliwakilisha jimbo la chaliinze na mbunge Godfrey Mgimwa kutoka jimbo la Kalenga.Hizi ni baadhi ya picha ziki onyesha kuapishwa kwao huku waki shuhudiwa na viongozi wenzao pamoja na baadhi ya ndugu zao wa karibu.
Mh.Ridhiwani aki apishwa

PG4A8163
Mh.Godfrey Mgimwa kutoka jimbo la Kalenga
PG4A8123PG4A8131
PG4A8129

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...