• Home
  • About

PHOTOS | Hii ndio tattoo mpya ya Agness Masogange icheki hapa.

 Video Queen anae fanya vizuri hapa Bongo Agness Masogange ambae kwa siku za usoni ame weza kuonekana kwenye video ya Tunda man 'Msambinungwa' ame ongeza tatoo mwilini kwake siku za hivi karibuni.

Queen huyo ame ongeza tattoo hiyo yenye ujumbe watu kuwa Huru zaidi na kujiamini duniani.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...