• Home
  • About

Watayarishaji wa filamu ya Mdundiko sasa waja na filamu mpya iki tambulika kwa jina la 'Dogo masai'

Watengenezaji wa filamu ya Mdundiko wame amua kuja n afilamu mpya inayo enda kwa jina la dogo masai.
 Dogo masai ina zungumzia kijana James ane amua kuu vaa uhusika wa uma sai baada yaku tupwa porini na kudhulumiwa mali zake na uncle wake 'TINO' na kisha kuokotwa n awa masai.
 Ni filamu yaku sisimua hasa kutokana na vituko vya Dogo masai ambapo ana ingi mjini kuzi saka mali za alizo dhulumiwa.

 Washiriki katika filamu hii ni pamoja na TINO MUYA,OMMARY CLAYTON,JAMES SAMUEL,MAINDA SUKA nawengine kibao.

_MG_7107 (640x427)
Guita na wakina Dogo masai with color_1 (640x480)
Guita na wakina Dogo masai with color_2 (640x480)
Guita na wakina Dogo masai with color_4 (640x480)
Guita na wakina Dogo masai with color_12 (640x480)
Guita na wakina Dogo masai with color_15 (640x480)
Guita na wakina Dogo masai with color_16 (640x480)
Guita na wakina Dogo masai with color_24 (640x480)
Guita na wakina Dogo masai with color_30
Guita na wakina Dogo masai with color_32
Guita na wakina Dogo masai with color_33
Guita na wakina Dogo masai with color_35
Guita na wakina Dogo masai with color_40
Guita na wakina Dogo masai with color_49
Guita na wakina Dogo masai with color_62
Guita na wakina Dogo masai with color_63
Guita na wakina Dogo masai with color_68
Guita na wakina Dogo masai with color_72

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...