• Home
  • About

Feza kesi kurudi tena namna hii...


 Aliye kua mwakilishi wa Tanzania katika jumba la Bigbrother africa 2013 na mtunzi wa nyimbo ya Amani ya moyo Feza kesi ana tarajiwa kurudi kwenye game ya muziki kwa ngoma hii inayo kuja kwa jina la My papaa.. Ngoma hiyo ambayo ipo kwenye ma tayarisho chini ya producer Nahreel Hili ndilo cover lake.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...