• Home
  • About

Elizer beth michael 'Lulu' aandika ujumbe huu kumkumbuka Kanumba.

picha kanumba na lulu www.habaribongotz.blogspot.com

   Msanii lulu ali post video yenye picha zake na za Kanumba,Naku post ujumbe maalum kwa ajili yake baada ya kutimiza miaka miwi tokea msanii Steven Kanumba atutoke.




"Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu"

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...