• Home
  • About

Shilole mahaba ni ue kwa nuhu mziwanda.

 Msanii wa muziki wa mduara bongo Zuwena Mohamed (Shilole) Ame sema kua amenasa vilivyo kwenye penzi la msanii mwenzake anae tamba na ngoma ya 'Otea nani' Nuhu mziwanda naku ongeza kua hatarajii kuachia.

 Aki endelea Shilole alisema kua yupo teyari kuolewa na Nuhu kwani ana mpenda na ndiyo wa ubavu wake kutokana na mapenzi anayo muonesha tofauti na wanaume wengine alio wahi kua nao kabla.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...