• Home
  • About

Ngoma mpya ya Tid aki shirikiana Jaymo ijumaa hii..

 Top In Dar 'TID' ana tarajia kuachia ngoma yake mpya akiwa kashirikiana na msanii Juma Mohamed Mchopanga aka' Jay Mo',Ngoma hiyo ana tarajia kuiachia Ijumaa hii yaani ya kesho.Ngoma hiyo ina enda kwa jina la chumvi.

 Tid na kiongizi wa Top band ame achia video mbili kwa mpigo ikiwamo aliyo shirikiana na mkongwe Profesor J.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...