• Home
  • About

Paul na peter wa Psqure wako katika ugomvi chanzo kikiwa ni hiki..

 Mapacha wawili wanao unda kundi la Psqure Piter na paul wame ripotiwa na mtandao mmoja wa Niger Naija Gists kua wali kua katika ugomvi huku uki eleza chanzo cha ugomvi wao kili cho chewa na tweet ya kaka yao mkubwa ane wa manage Jude Okoye, iliyootafsiriwa na mtandao huo kuwa huenda ameachana na kundi hilo baada ya kuwepo ugomvi kati yake na ndugu hao kutokana na msimamo wake wa kutohudhuria ndoa ya kisasa ya mdogo wake itakayofanyika Dubai.


 Mtandao huo uli andika kua hapatani na mke lola Omotayo mke wa Piter Okoye.
Okoyes
Jude Okoye akiwa na Piter na Poul.

Paul na piter wakiwa na wakez ao Lola na Anita.
 Lakini kuna baadhi ya watu nchini Nigeria wamedai kubwa kuna uwezekano kuwa ugomvi ‘hewa’ unaoendelea na kuripotiwa katika vyombo vya habari ukawa ni ‘hype’ ya kuandaa ‘kiki’ ya album yao mpya.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...