• Home
  • About

FASHION | Hii ni new design kutoka kwa miss Temeke.. zicheki fashion cloth hapa kutoka kwake.



Missy Temeke  wa kwetu fashion,siyo jina geni kwenye tasnia ya urembo na
fashion.ni Mwanadada mrembo aishie nchini Marekani
anayejihusisha zaidi na ubunifu wa  mavazi yenye mwonekano wa
ki Tanzania na kiafrika chini ya label yake ya KWETU FASHION.
.ametoa collection mpya ya vazi Lenye mwonekano wa kiafrica..

 
MAMODO WA KWETU FASHION WAKIONYESHA
VAZI ALILOBUNI ,MISSY TEMEKE


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...