• Home
  • About

P-Funk afunga ndoa na Hidaya...

 Producet wa muziki bongo P-Funk majani  aka 'Dream big' ame funga pingu za maisha na msichana tokea ARusha aitwae Hidaya.Producer huyo n mmiliki wa Bongo records ali andika kwenye ukurasa wake wa tweeter na insta gram kua “Finally I made the big move.”Ndoa hiyo ili fanyika jijini Arusha.
Bwana harusi akimvisha mkewe pete
Hidaya mtoto wa Arusha aliyebahatika kuuteka moyo wa P Funk  akimvisha pete mume wake

Mashallah Mr & Mrs Majani 
Mrs Majani aka Hidaya akiwa na kichuna chao Parveen
 Maharusi mara baada ya kufunga ndoa yao


Bi harusi akiwa na mashoti zake
 
CREDIT :JESTINAGEORGE

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...