• Home
  • About

VIDEO | Hivi ndivyo Gareth bale alivyo ipa Real madrid ubingwa zidi ya Bcelona.

 Gareth Bale jana usiku aliibuka shujaa wa mamilioni ya mashabiki wa Real Madrid baada ya kufunga bao la ushindi liloipa klabu yake ubingwa wa kombe la Copa Del Rey mbele ya FC Barcelona katika mchezo uliopigwa jana usiku kwenye dimba la Mestalla huko Valencia. Tazama video ya magoli ya hii mechi hapa chini ambayo iliyoisha kwa Madrid kushinda 2-1 pia ungana nami
  Video hii hapa..

Real Madrid vs Barcelona 2-1 by FootyLight0

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...