• Home
  • About

Model Daxx apata shavu kwenye kampuni kubwa duniani ya Russell hobbs..


 Mwana mitindo wa Tanzania aishie marekani Daxx ame pata shavu laku fanya matangazo ya bidhaa za Russell hobbs.Kampuni ya russell hobbs ina deal na utengenezaji wa bidhaa zakupikia tokea miaka 50 huko nyuma ikiwa najina kubwa .

rome-1
 "My job my inspiration # ... Anew face of  russell hobbs #Proudly Africa tothe world" ali andika Dax  kwenye Insta gram.
home-models

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...