• Home
  • About

Huyu ndiye producer wa studio ya Quick Rocka 'Switch records' mcheki hapa.

Mwisho wa mwaka jana rapper Quick Rocka aka Switcher alitangaza kufungua studio ikiwa kama sehemu ya biashara anazofanya ukiacha muziki, Quick alisema kuwa studio ya Switch Records itafanya muziki wa aina nyingi na wasanii wote wana karibishwa kufanya kazi studio hio,

Quick rocker (Switcher)
 Hii ni mara ya kwanza kwa Quick kutangaza producer wa Studio Hii ambaye ni Nahreel aliyekuwa Home Town Records.
Quick ali twitt kupitia twitter acount yake kua.
 It's official now...He's the producer at SWITCH REC @NahreelBeatz #2014#Switch#midundo#MoneyTeam#Nahreel 
 q 1

 Nahreel niproducer ambae ana fanya vizuri kwenye gemu la muziki hapa bongo ameweza kupro duce ngoma kama Gere ya weusi,Usini bwage yake yeye mwenyewe akiwa na Aika,Chelewa ya Navy kenzo,Hold me back ya Navy kenzo, Come over me ya Vanesa mdee na nyingine nyingi.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...