• Home
  • About

Mikel Arteta wa arsenal apoteza meno uwanjani.

 Mchezaji wa Arsenal Mikel Arteta amejikuta kwenye maumivu ya kupoteza baadhi ya meno yake ya mbele kwenye mechi dhidi ya Hull City.

Kwenye harakati za kumiliki mpira mchezaji Mikel Arteta alipata crash na mchezaji wa Hull City George Boyd.
Mechi hiyo imeisha kwa Arsenal wakiwa washindi wa tatu bila na Mikel Arteta kupoteza meno yake hayo..

 credit /Millardayo

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...