• Home
  • About

David Moyes out manchester United,

 Meneja wa club ya manchester united David Moyes ame achishwa kibarua chake hii leo,Kutoka kwenye ukurasa wa twiter unao milikiwa na club hiyo ya Man U uliweza kuandika kua
 "BREAKING NEWS:Manchester united announceds that David moyes has self the club.The club would like to place on record it thanks for the hard work,Honestly and integrity he brought to role places".

 Uongozi wa juu ulikua ume pania kumpa muda kocha huyo ila wame ona ningumu kuona mabadiliko kutokana na wachezaji kuto kumuamini kocha huyo..
1560414_715196531877628_3796186308205047484_n


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...