• Home
  • About

Matokeo ya mechi kati ya Real madrid na Bayern munich haya hapa.


12
Usikuu huu mechi kati ya Bayern munich na Real madrid ime kamilika huku Real madrid waki ibuka kidedea kwa kuichapa Bayern bao 4 kwa 0,Mabao hayo manne yali fungwa na wa chezaji wawili Christiano ronaldo dakika 34 na 89 huku akiwa na rekodi yaku ongoza kwa magoli akiwa ame shinda magoli kumi na sita hadi sasa, Magoli mengine yakli fungwa na Ramos zikiwamo dakika16 na 20,MChezo huo ulio chezwa nyumbani kwa Bayern ulionesha wenyeji ambao ni Bayern kuelemewa kwa kiasi fulami. 




1 2 3  5

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...