• Home
  • About

Makamu wa rais Dk.Gharib bilali na viongozi wengine wawili wapata ajali ya helcopter waki elekea kukagua maafa yaliyo sababishwa na mvua.


Viongozi mbalimbali wakiwemo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick na kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova walianguka na Helikopta asubuhi ya leo kwenye uwanja wa ndege Dar es Salaam
Helikopta hiyo ilianguka wakati ikipaa kuwapeleka viongozi hao kwenye maeneo tofauti yaliyoathirika na mvua zinazoendelea kunyesha lakini hata hivyo hakuna aliyefariki katika ajali hiyo.
helco3
Magari ya zima moto yaki  uzima moto ulio taka kutokea.
 helcop1

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...