• Home
  • About

Muhidini ngurumo hatunae tena ai aga dunia...

 Msanii mkongwe wa muziki wa dance Muhidini nguromo ame iaga dunia leo hii saa nane mchana akiwa hospitalini muhimbili alipo pelekwa siku ya jana majira ya saa kumi alfajiri baada yakuzidiwa.
Alikua akisumbuliwa na tatizo la mapafu kujaa maji mara kwa mara.Mzee huyo aliwahi kufanya kazi na band kadhaa za hapa Tanzania ikiwamo msondo ngoma aliyo fanya nayo kazi hadi alipo staafu mwakajana,Ame fanya kazi ya muziki kwa miaka 53 hadi alipo staafu akiwa na miaka 73.
 Mipango ya mazishi kufanywa hadi familia na wana ndugu watakapo kutana kwaku shirikiana na chama cha muziki Tanzania.
Mzee nguromo enzi za uhai wake..(kulia)

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...