• Home
  • About

Johari awa kana Ray na Ustadh Juma na musoma...

Msanii wa filamu zaki Tanzania Blandina Chagula 'Johari' Jana aki chat na mashabiki zake katika kipindi cha kikaangoni live cha East Africa tv.Alisema kua "Sina mahusiano yoyote na Ustadh Juma wala Ray Kigosi" Hayo ni maneno aliyosema Johari wakati akijibu swali la moja Kikaangoni.


Na pia aliweza kukana ugomvi ulio wahi kutokea kati yake na msanii mwenzie Chuchu hans kisa kikiwa niku mgombania Ray 'Vincent Kigosi'.Aidha ali wa taka mashabiki wake kuto kuamini maneno yanay smabaa mitaa ni kila kukicha juu yake yeye.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...