• Home
  • About

Ice cube haja ridhika na tuzo ya MTV MOVIE kwenda kwa Paul walker...

 Rapper wasiku nyingi ambae pia ni actor ame onesha kuto kufurahishwa na kitendo cha Star wa first and furrious marehemu paul walker kupewa tuzo ya Mtv Movie awards kipengele cha Best screen duo.
  Mastaa wa wili wa First and furious Pual wolker na Vin dizzle ndio walio tajwa kwenye kipengele hicho cha Best screen Duo katika tuzo hizo zilizo tolewa April 13 mwaka huu ambapo Ice Cub haku furahia.
Aki fanya mahojiano na US today Ice alisema.

 "We had the best chemistry of every body nominated,for us not to win was crazy,They should have gave it to him before he passed away"
 Hata hivyo baada ya habari hiyo kuandikwa kwenye mitandao mbali mbali mashabiki wa Paul wolker wali anza kumshambulia kwa maneno,Ice cube ali andika haya kupitia Twitter.
 "Iwould never diss the actor who won,Not even paul wolker.Siriously people ! (Regarding) The sympa thy Vote. We should honor people before they die. That's all shame on you  [..] Reporters"

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...