• Home
  • About

Hiki nikipya kutoka kwa Comedian Joti,


 Msanii wa Comedy Lukas 'Joti' ame amua kuja na kitu chake mwenyewe ambacho nifalamu ina enda kwa jina la 'Sanduku la babu' ikiwa chini ya usimamizi wa Proins promotions,Msanii huyo anae fanya poa sana kwenye Original comedy ya Tbc ame amua kuicheza filamu hiyo akiwa kashika nyusika tatu kama Babu,Msichana na pia akiwa kama jina..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...