• Home
  • About

Bob junior yuko njia panda kwa hili,

 Raisi wa masharo baro Raheem Rummy nanji 'Bob Junior' ame sema kua yupo njia panda kujua ni video gani aanze kuitoa kati ya 'Bolingo na ngai' na  'Ukweli wangu' ikiwa zote zime tengenezwa na waongozaji kutokea nchi tofauti.
 Bob junior ali sema video moja ime tengenezwa na Ogopa videos ya nchini Kenya na nyingine ikiwa ime tengenezwa na Kwetu studio ya hapa Tanzania.

 "Project zangu zina karibia kutoka mwezi unao fuata , Nipo kwenye harakati za mwisho zaku fanya video,Na nipo njia panda sababu na nyimbo mbili ambazo na fanya video. Nitakapo maliza na dhani ndipo nitakapo wajulisha. Kuna moja ina itwa 'Bolingo na ngai' na nyingine ina itwa 'Ukweli wangu'. Zote nime fanya mwenyewe sharo baro records na kwa upande wa production za videos kuna jamaa wanaitwa Kwetu studios na nyingine nime fanya Kenya Ogopa". Alisema Bob Junior.
  Pia ame sema kwa upande wa studio yake ya Sharo baro records hivi karibuni ame fanya kazi mbili ambazo ni za na simama wa Lady Jayde na Uaminifu ya bonge la nyau.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...