• Home
  • About

PHOTOS | HIVI NDIVYO SHOO YA UZINDUZI WA VIDEO YA QUEEN DARLIN ULIVYO KUA MAISHA CLUB

Usiku wa juzi jumapili Mwanadada Queen Darlin alikuwa anazindua video yake mpya ya wimbo wake uanoitwa wanatetemeka, katika uzinduzi huo ulipambwa na shughuli tofautitofauti ili kuifanya shoo hiyo ilikuwa vizuri, Kama wengi wajuavyo anapowasili Bongo Lava King Diamond Platnumz lazima umati wa watu ushangilie kwa hisia.






Katika uzinduzi huo Queen Darlin alisindikizwa na Diamond Platnumz pamoja na Sheta huku wakimba nyimbo kama Nidangaye na Kerewa.

Diamond Platnumz na Queen Darlin ni ndugu walioshare Baba, so Diamond atafanya lolote kussoprt kile anachofanya Dada yake
  Tizama picha zaidi hapa ilivyo kua show hiyo ya Quen darling na alipo wasili Dimond platnumz











Credit | bongo61.com

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...