• Home
  • About

Director Nisher kuja na kitu kipya 'ON TOP'


 Director aliye jizolea sifa katika industry ya music video hapa bongo 'Nisher',ame amua kugeukia upande wa pili wa kipaji chake cha uimbaji.Director huyo ame andika katika wall yake kua ana tegemea kuachinyimbo yake mpya ita kayo enda kwa jina la 'ON TOP' baada ya ngoma yake aliyo itoa august mwaka jana iliyo kua iki itwa PAPER.


 Hiki ndicho alicho kiandika.

Upo tayari Kusikia Ngoma Yangu Mpya??? Baada ya ‪#‎PAPER‬ niliyo fanya last year... tarehe 14.4.14 Inakuja Ngoma Mpya inayoitwa ‪#‎ON_TOP‬...
written/produced/mixed/composed/performed By N👑SHER

 



Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...