• Home
  • About

Ajali bajaji ya binuka kutokana na mvua.. cheki hapa.

 Ajali mbaya iki husisha bajaji ime tokea maeneo ya kinondoni Biafra jirani na chuo kikuu huria 'Open University' leo hii,Sababu ya ajali hiyo nikutokana na mvua zinazo endelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam
.Dereva wa bajaji alikua aki jaribu ku kwepa gari lilo kua mbele yake ndipo bajaji hiyo ika teleza naku binuka.Katika ajali hiyo hakuna aliye jeruhiwa wala kupoteza uhai.



Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...